
Click to enlarge
Image 1 / 4
Still Life
Bilicanas, Disemba 1995. (Love in 90’s).
by Michael Wenc
Available
- Medium
- Acrylic on Canvas
- Size
- 100x120 Cm
- Category
- Still Life
- Year
- 2026
About this work
Bilicanas, Disemba 1995. Bilicanas haikuwa tu night club ya kawaida, ilikuwa sehemu ya vibe kubwa na kumbukumbu. Mahali ambapo watu walikutana baada ya kazi, walicheka, walicheza, na mara nyingi mioyo ilikutana bila kupanga. Wapo wengi walioanza kwa salamu moja pale, wakaendelea na mazungumzo ya usiku, wakapendana... na yaliyobaki ni historia. Mchoro huu unarudisha enzi ambazo mapenzi hayakuhitaji internet, bali dansi moja kali, wimbo mkali, na ujasiri wa kusema, Naomba tudance
Price
TZS750,000We’ll respond with shipping options and payment details.
Share