Mama dream's by Sisa - View 1
Click to enlarge
Portrait

Mama dream's.

by Sisa

Available
Medium
Acrylic on Canvas
Size
100x100cm
Category
Portrait
Year
2026

About this work

Kabla ya brashi kugusa kitambaa, na kabla ya safari ya kutafuta mzizi wa mzabibu kuanza, kulikuwa na ndoto ya mwanamke aliyeumba njia yangu. Mama’s Dream' ni mchoro wa kipekee sana kwangu. Niliuanza wakati wa maandalizi ya awali kabisa ya collection ya 'The Hidden Vintage of the Root of the Vine'. Ni picha inayobeba maono, subira, na heshima kubwa kwa mama yangu. Mikono yake haikubeba tu matunda ya zabibu, ilibeba ndoto zangu mimi leo kama msanii. 🍇✨ ​Kazi hii ni madhabahu ya shukrani zangu za dhati kwake. Thamani ya kile ninachokifanya leo imesimama juu ya jasho, upendo, na maombi yake ya kimya kimya. Bila ndoto yake, kilele cha leo kisingekuwepo. Shukrani za dhati kwa mama wote duniani

Price

TZS700,000

We’ll respond with shipping options and payment details.

Share