
Click to enlarge
Portrait
Miguu mitakatifu.
by Sisa
Sold
- Medium
- Acrylic on Canvas
- Size
- 100x100cm
- Category
- Portrait
- Year
- 2026
About this work
Madhabahu ya Baraka za Zabibu.🍇🧺🕊️ ​Miguu hii iliyojaa uzoefu na bidii ya kutwa nzima, Haikusahau kuponda tunda la zabibu kwa upendo na hila. Zabibu moja iliyopokelewa mkononi mwa mbinu hii ya kipekee, Ilibeba alama ya baraka na malezi yaliyojenga maisha kama mapito. ​Katika mfululizo huu wa 'The Hidden Vintage,' tunasherehekea mbinu ya kitamaduni ya kuponda zabibu kwa miguu. Mbinu hii inatukumbusha thamani ya kudumu katika jamii yetu na umuhimu wa kuhifadhi urIthi wetu
Price
TZS700,000This work has found its home
Share