
Click to enlarge
Wildlife
Tribute to Craig 2026.
by Joseph Gimbo
Available
- Medium
- Acrylic on Canvas
- Size
- 60x80
- Category
- Wildlife
- Year
- 2026
About this work
mchoro huu n kwaajil ya kumkumbuka moja kati ya tembo maarufu na waliopendwa zaid africa na dunian kwa kua na sifa ya kua na pembe ndefu zilizogusa ardhi. alifariki tarehe 3jan 2026. tembo huyo aliejulikana kwa jina la craig alikua akitembea taratibu kana kwamba hatua zake zilikua zikielezea historia ya maisha yake aliyopitia .. mchoro huu unatukumbusha kuishi kuna acha alama mchoro upo available kwa atakae hitaji ani DM
Price
TZS180,000We’ll respond with shipping options and payment details.
Share