Utakatifu wa Udongo  by Sisa - View 1
Click to enlarge
Portrait

Utakatifu wa Udongo .

by Sisa

Available
Medium
Acrylic on Canvas
Size
100x100cm
Category
Portrait
Year
2026

About this work

Tunaweka msisitizo mkubwa kwa yule anayevuna, lakini tunasahau 'utakatifu' uliopo kwenye udongo wenyewe. Ni nani anayethamini mikono hii inayogusa udongo mweusi wa Dodoma kwa heshima na unyenyekevu ili kutupa sisi mavuno bora? ​Hiki ni kipande kinachotukuza chimbuko letu, kwa sababu kila hadithi kubwa ya mafanikio huanza na udogo uliotukuzwa na jasho lisiloonekana

Price

TZS700,000

We’ll respond with shipping options and payment details.

Share